Norwegian Church Aid (NCA)
Norwegian Church Aid (NCA) ilianzishwa nchini Tanzania mnamo 2006 na ina historia ndefu ya kufanya kazi pamoja na wahusika wa kidini kusaidia watu kujikwamua kutoka kwenye umaskini na kukuza haki. Wakati wote wa uwepo wake, NCA imeendeleza harakati za vyama vya kijamii, ikifanya kazi kwa amani na mshikamano wa kijamii, utawala unaowajibika, haki ya kiuchumi na usawa wa kijinsia. Kwa NCA, kuwezesha mazungumzo na ushirikiano wa wadau wengi ni njia muhimu ya kuimarisha jukumu la asasi za kiraia na kukuza matokeo ya maendel