Tanzania Gender Networking Programme (TGNP)
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) unatambulika kwa harakati zake za wanawake na asasi za kiraia nchini, Afrika na kwingineko. TGNP ni shirika linalokusudia kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake nchini.