Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) unatambulika kwa harakati zake za wanawake na asasi za kiraia nchini, Afrika na kwingineko. TGNP ni shirika linalokusudia kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake nchini.

Dira yetu ni kuona "Jamii ya Kitanzania iliyobadilika ambayo kuna usawa wa kijinsia na haki ya kijamii".
Lengo ni kujenga ushawishi na kudai mabadiliko katika miundo, sera na ugawaji wa rasilimali sawa katika ngazi zote.
 
Tangu kuanzishwa kwake TGNP imetumia mikakati ya kushawishi sera za kitaifa / kisekta, mipango na michakato ya bajeti kwa kukabiliana na mahitaji ya wanawake na ya kimkakati mfano upatikanaji wa huduma za afya na maji.

-6.805727623917, 39.221487980861