Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

SNV imekuwepo nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 40. Tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000 uchumi wa Tanzania umekuw akikua katika hali ya kuridhisha. Licha ya ukuaji huu wa uchumi, bado Tanzania inakabiliwa na tatizo la umaskini. kiwango cha umaskini bado kinasimama karibu 34% licha ya ukuaji wa uchumi wa kila mwaka wa karibu 7%. Ili kuwa na mchango katika kupunguza umaskini nchini Tanzania, SNV inajikita kufanya kazi katika  Sekta za Nishati, Kilimo na Maji na  Usafi wa Mazingira kwa kuoanisha na Mkakati wa Kitaifa wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini.

-6.7499288423625, 39.274983953876