Skip to main content

Kuimarisha Utendaji wa Bunge katika Usimamizi wa Bajeti: Hoja ya Ofisi ya Bajeti ya Bunge

Imechapishwa na Policy Forum

Usimamizi wa Bunge uliohuru unahitaji pawepo na uhalisia wa kutenganisha na kuwa na uwiano mzuri wa mamlaka kati ya Bunge na Serikali.Pale ambapo hakuna mipaka na serikali ikiwa na nguvu kubwa kuliko bunge katika utoaji habari na rasilimali, achilia mbali kamati za usimamizi, haiwezekani kwa bunge kuwa na uwezo wa kuwa na makali endelevu dhidi ya serikali . Kwa kuangalia utendaji wa Usimamizi wa Bajeti ya Bunge katika mazingira haya, hoja ya umuhimu wa kuanzisha Ofisi ya Bajeti ya Bunge inaweza kuibuliwa.

Subscribe to Budget