Asasi za Kiraia Wanachama wa TANGO, TUCTA na CCT inaitaka SADC kuchukua hatua za haraka juu ya ukatili unaoendelea huko Afrika Kusini
Asasi za Kiraia Wanachama wa TANGO, TUCTA na CCT na sekta ya AZAKI Tanzania inaitaka SADC kuchukua hatua za haraka juu ya Ukatili unaofanywa dhidi ya watu wa mataifa mengine nje ya nchini Afrika Kusini.