Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Fishers Union Organisation ( FUO) hufanya kazi kwenye nyanja kama vile utawala bora, utoaji wa huduma za afya (VVU / UKIMWI), malaria, unyanyasaji wa kijinsia, ulinzi wa wavuvi , kuimarisha uchumi, matumizi mabaya ya dawa za kulevya, kuokoa mtu aliye na shida ya akili na kuzuia shughuli za uvuvi haramu.

FUO inakusudia kuwa mmoja wa washirika bora wa maendeleo katika kuwawezesha wavuvi na jamii za wavuvi kuwa na mafanikio na kuhifadhi mazingira ya maendeleo endelevu.

 

 

-2.5114963176796, 32.90414478546