Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Biharamulo Originating Economic Development Association (BOSEDA) ni NGO iliyosajiliwa ambayo inashirikiana kwa karibu na wadau wengine kutoa huduma zinazokidhi mahitaji kwa jamii katika sekta za Elimu, Afya, Uhifadhi wa Mazingira, Sera za kitaifa, Jinsia, Haki za Binadamu, Utawala Bora na Demokrasia pamoja na elimu ya kiuchumi kwa kutumia rasilimali zilizopo za ndani.

BOSEDA ilianzishwa mwaka 2005 na kufanikiwa kupata usajili namba 1329 mnamo Oktoba, 2009. Ni shirika linalokua ambalo limejitolea kufanya kazi katika maeneo ya vijijini hasa Kanda ya Ziwa, hii ni pamoja na mikoa ya Kagera na Geita.

 

 

 

-2.6345527428876, 31.313211377597