Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Mbeya Youth Development Organization (MYDO) imejitolea kubadili mtazamo wa vijana kuhusu kilimo ili kuwafanya waelewe kuwa kilimo ni biashara kama biashara zingine zozote katika mkoa wa mbeya na inaweza kuwa biashara bora kulinganisha na zingine. MYDO Inaamini kuwa kilimo kinaweza kuwa mwajiri mkubwa zaidi wa Tanzania haswa kwa vijana.

-8.9087383982106, 33.459874217614