Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Ni muhimu kila mwananchi kuuelewa na kushiriki katika mchakato mzima wa kutengeneza bajeti ya nchi yao kwahiyo basi ni vema hawa wananchi kupewa taarifa/habari za kutosha.

Kwasababu hii basi Policy Forum imekuwa ikitoa kijitabu kidogo kinachoonyesha bajeti ya nchi ya miaka husika.

Mheshimiwa Likwelile katika Mdahalo wa Policy Forum wa Juni 2010 aliahidi kuwa serikali itakuwa ikitoa vijitabu hivyo vinavyoelezea bajeti husika ili mwananchi wa kawaida aweze kuelewa.

Kufuatana na hii, Wizara ya Fedha imetoa kijitabu kinachoelezea bajeti ya mwaka 2012/2013 kwa ajili ya mwananchi wa kawaida kuelewa.

Tafadhali bofya hapa kuona kujitabu hicho.