Skip to main content
     

Mkutano Wa Robo Mwaka Wa Wanachama Wa Policy Forum

Policy Forum itakuwa na mkutano wa robo mwaka wa wanachama wake, mkutano huu utafanyika tarehe 30/09/2011 katika ukumbi wa British Council baada tu ya mdahalo wa asubuhi saa nne hadi saa kumi jioni.