Policy Forum ni asasi huru yenye malengo ya kuhusisha wananchi, asasi zisizo za kiserikali, na sekta zote zingine za jamii katika michakato ya uundwaji wa sera. Dhamira hii pia inahusisha kuwezesha hatua zote za michakato ya uundwaji wa sera zinaelimisha wananchi, zinakuza uwezo wao wa kujihusisha na zinaendeshwa kwa njia inayotoa nafasi ya uwajibikaji.Dira: Policy Forum inatazamia uwepo wa ubora...
We hope you will find this site as a valuable resource tool which features recent news and extensive information about our activities and our network. We will be adding new content regularly so be sure to visit the site often.
Policy Forum, together with the International Budget Project (IBP) of Washington, D.C is organising an EA Public Expenditure Conference to be held at the Impala Hotel in Arusha from October 24-26, 2007.