Skip to main content
Haitham Kichwabuta
Afisa Prohramu - Tathmini na Ufuatiliaji
Contact Info
+255 782 317 434
mel@policyforum.or.tz
Education
Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Miradi, Ufuatiliaji na Tathmini ya Afya, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili
Shahada ya Sayansi ya Mazingira na Usimamizi, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine
Mafunzo ya Msingi ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii, Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini

Haitham Kichwabuta amejiunga na Policy Forum kama Afisa wa Tathmini, Ufuatiliaji na Kujifunza (MEL) anayehusika na kuongoza shughuli za MEL katika shirika. Kwa zaidi ya miaka minne, Haitham amekuwa akifanya kazi katika masuala ya Ufuatiliaji na Tathmini katika sekta za mazingira, kilimo na afya ya umma. Ana ujuzi wa kina na uelewa wa usimamizi wa miradi, ufuatiliaji na tathmini na anauzoefu wa kuripoti kwa wafadhili tofauti wakati akifanya kazi na Oxfam nchini Tanzania na kampuni ya ushauri kabla ya kujiunga na PF. Haitham ana shahada ya Sayansi ya Mazingira na Usimamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo na Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Miradi, Ufuatiliaji na Tathmini ya Afya inayotolewa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.

We need to enhance effectiveness and efficiency in implementing Monitoring and Evaluations that is evidence-based and focuses on results