Novemba 2020, wawakilishi kutoka taasisi mbalimbali zikiwemo Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) na Wanachama wa Policy Forum walihudhuria vikao vya tathmini za kikanda za masuala ya Uwajibikaji Jamii.