Maoni ya Rasimu ya Katiba yaliyotolewa na Wanachama wa Policy Forum Katika Baraza lao la Katiba

Categories

Wanachama wa Policy Forum walikuwa na Baraza lao la Katiba mnamo tarehe 16 Agosti 2013, maoni yaliyotolewa katika baraza hilo yaliwasilishwa na sekretaeti ya Policy Forum 30 Agosti 2013 kwenye ofisi za Tume ya Katiba.

Angalia kiambatanisho hapo chini kuona maoni yaliyowasilishwa

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter