Localization Category

Asasi za Kiraia Wanachama wa TANGO, TUCTA na CCT na sekta ya AZAKI Tanzania inaitaka SADC kuchukua hatua za haraka juu ya Ukatili unaofanywa dhidi ya watu wa mataifa mengine nje ya nchini Afrika Kusini.Kuibuka kwa ukatili wa hivi karibuni nchini Afrika Kusini ni suala la kutia huzuni kubwa kwa nchi hiyo, kanda yote ya SADC na bara la Afrika kwa ujumla. Kwa bahati mbaya mashambulizi haya mapya...
Participatory Ecological Land Use Management (PELUM) Tanzania is a network of Civil Society Organizations working with smallholder farmers and livestock keepers in promoting participatory ecological land use management in Tanzania. Founded in 1995 by five-member organizations, the network has grown to the current 39 Member Organizations. PELUM Tanzania head quarter is based in Morogoro Municipal...
ActionAid International Tanzania is a non-political, non-religious organisation that started its operations in the country  as a cross-border programme from Kenya in 1998 and became a full-fledged country programme in 2000. Mission:To work with poor and excluded people to eradicate poverty and injustice.Vision: A Tanzania without poverty and injustice in which every person enjoys his/...
Siku chache zilizopita, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliunda kamati mbili za wataalamu kwa ajili ya kuchunguza taarifa za kuwapo kwa udanganyifu wa kiwango cha madini katika mchanga wa dhahabu (makinikia), ambao umekuwa ukisafirishwa kupelekwa nje ya nchi. Mchanga huo ni ule unaotoka katika migodi ya dhahabu ya Bulyanhulu na Buzwagi ambayo kwa pamoja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIASASI ZA KIRAIA KUITISHA MKUTANO WA KITAIFA WA TASNIA YA UZIDUAJIUfanisi na matumizi bora ya maliasili kwa manufaa ya ummaUmoja wa Wadau wa HakiRasilimali kwa kushirikiana na wanachama wake: HakiMadini, Interfaith Standing Committee, Policy Forum, ONGEA na Governance Humbly Links wameandaa mkutano wa kitaifa wa tasnia ya uziduaji utakaofanyika katika ukumbi wa Hoteli...
PRESS RELEASEFor Immediate Release CIVIL SOCIETY CONVENES NATIONAL CONFERENCE ON EXTRACTIVE INDUSTRYEffectively and efficient use of natural resources for public benefit On October 26 and 27, 2016, HakiRasilimali Coalition in collaboration with its members: HakiMadini, Interfaith Standing Committee, Policy Forum, ONGEA and Governance Humbly Links will organize a national conference on extractive...
On the occasion of the 36th Summit of the Heads of State and Government of the Southern Africa Development Community (SADC Summit), we the undersigned members of the Coalition for an Effective SADC Tribunal, are raising serious concerns over state parties insistence in denying access to justice to the citizenry of this region as per the revised SADC Tribunal Protocol. The Protocol strips the...
An African Civil Society Call to Governments at UNCTAD 14: Governments at the 14th session of the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD 14) must rise up to the fundamental challenge of equitable development in and for Africa within the global order. This intergovernmental forum, to be held in Nairobi, Kenya in July 2016, must clearly call for global economic institutions to...
Asasi za Tanzania tumeendelea kufuatilia mchakato wa uchaguzi mkuu 2015 tangu uandikishaji wapiga kura, uhamasishaji hadi kampeni zinazoendelea kwa umakini mkubwa. AZAKI tumefanya hivyo tukiamini kuwa uchaguzi  ni sehemu kuu ya michakato ya kidemokrasia hapa nchini kama ilivyo duniani kote. Sisi asasi za kiraia Tanzania, tukiwa watetezi na wasimamizi wa demokrasia, utawala bora na haki za...
The Financial Transparency Coalition, Perkumpulan Prakarsa and Transparency International Indonesia will host Many Voices, One Purpose: The 6th Financial Transparency Conference. The conference will be held in Jakarta, Indonesia on 20-21 October at the Sari Pan Pacific Jakarta hotel.Download the updated conference agenda and list of speakers here.For more information click on this link: https://...

Pages

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter