Skip to main content
Imechapishwa na Policy Forum

Mandhari ya hali halisi ya ushirikiano wa kimaendeleo inabadilika huku kukiwa na ongezeko la washirika wapya ambao ni Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, unaojulikana kwa pamoja kama BRICS . Washirika hawa wapya ambao
wanawakilisha fursa mpya, rasilimali mpya na makubaliano mapya ya mikataba; huku mkazo mkubwa zaidi ukilenga katika mwelekeo thabiti wa ukuaji wa kiuchumi, kupunguza umaskini na kupata maendeleo ndivyo vinavyoleta changamoto kwa mashirika ya kimaendeleo na wajasiriamali wa nchi za magharibi. Kusoma zaidi bofya hapa