Uanachama

Policy Forum ina wanachama zaidi ya 70 ambao ni asasi zisizokuwa za Serikali zilizosajiliwa Tanzania. Policy Forum inapokea maombi kutoka kwenye asasi zilizosajiliwa tu. Asasi ijaze fomu (faili ya PDF) ambayo inapatikana kwa kubofya kitufe hapo chini ya ukurasa huu. Hakuna gharama za kujiunga.


Isaidie Policy Forum irekebishe rekodi zake!

 Kama unafikiri kwamba wewe au asasi yako:

  • Inatakiwa iwe kwenye orodha lakini haipo;
  • Ipo kwenye orodha lakini haikutakiwa kuwepo;
  • Anuani inaonekana wazi kwa wanachama na wengineo lakini hutaki;
  • Anuani haionekani wazi kwa wanachama na wengineo na wewe unataka ionekane.

Tafadhali tuma barua pepe kupitia: info@policyforum.or.tz


Majina ya wanachama wetu yameorodheshwa hapa chini:-

MKOA WA DAR ES SALAAM:

 1. Action Aid Tanzania

2. Catholic Relief Services (CRS)

3. Hakielimu

4. Habitat Forum Tanzania(HAFOTA)

5. Guluka-Kwalala Youth Environment Group Ltd

6. Lawyer’s Environmental Team (LEAT)

7. Legal and Human Right Centre (LHRC)

8. Netherlands Development Organization (SNV)

9. Oxfam

10. Norwegian Church Aid

11. Research on Poverty Alleviation Programme (REPOA)

12. Save the Children

13. Southern Africa Human Rights NGO- Network (SAHRiNGON)

14. Tanzania Network of Community Health Fund (TNCHF)

15. Tanzania Youth Aware Trust Fund (TAYOA)

16. The Leadership Forum

17. VSO Tanzania

18. Water Aid Tanzania

19. Women Advancement Trust (WAT)

20. Women’s Legal Aid Centre (WLAC)

21. World vision Tanzania

22. Women in Social Entrepreneurship(WISE)

23. Sikika

24. United Nations Association (UNA Tanzania)

25. Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture & Environment (TAWLAE)

26. Health Promotion Tanzania (HPT)

27. Tanzania Coalition on Debt and Development (TCDD)

28. KEPA Service Center for Development Cooperation

29. Agricultural Non-State Actor Forum (ANSAF)

30. Tanzania Forest Conservation Group (TFCG)

31. BBC Media Action

32. Care International

33. Promotion of Education Link Organization (PELO)

34. The Science, Technology and Inovation Policy Research Organization (STIPRO)

35. Under the Same sun

36. Pact Tanzania

MIKOANI:

1. Agency for Cooperation and Research in Development (ACORD)- Mwanza

2. Coastal Youth Vision Agency (CYVA)- Pwani

3. Free Ambassador Women & Children Mission Tanzania (FAWACM- TZ)- Kilimanjaro

4. Hakikazi Catalys- Arusha

5. Health and Medicare Foundation for Albinism (HEMFA)- Kilimanjaro

6. Kiteto Civil Society Organizations Forum (KCS Forum)- Manyara

7. Mbulu Environmental Society (MBESO)- Manyara

8. Mudugu women and Community Development ( MUDUGU- WACOD)- Pwani

9. Pastoralist Indigenous non-Governmental Organization Forum (PINGOS)- Arusha

10. PELUM Tanzania-Morogoro

11. Rukwa Association of NGOs (RANGO)- Rukwa

12. Tabora Voluntary Development Society (TADESO)- Tabora

13. Tushiriki- Mbeya

14. Tanzania Pastoralists & Hunter Gatherer Organization(TAPHGO)- Arusha

15. Youth partnership Countrywide (YPC)- Pwani

16. Ileje Environmental Conservation Association (IECA)- Mbeya

17. Mbozi, Ileje and Isangati Consortium( MIICO)-Mbeya

18. Mbeya Youth Development Organization(MYDO)- Mbeya

19. Mwanza Press Club (MPC)- Mwanza

20. Action Based Community Foundation (ABC Foundation)- Mara

21. Manyara Region Civil Society Organization Network(MACS-NET)- Manyara

22. Union for Non-Governmental Organization (UNGO)- Morogoro

23. VICOBA- Ruvuma

24. Sakae Development Foundation (SADEF)- Tanga

25. Kilimanjaro women Information Exchange and Consultancy Oranisation(KWIECO)- Kilimanjaro

26. Biharamuro Originating Economic Development Association (BOSEDA)- Kagera

27. Community of volunteers for the world (CVM)- Bagamoyo Pwani- Pwani

28. HakiMadini- Arusha

29. Community Active in development Association (CADA)-  Mwanza

30. Restless Development Tanzania- Iringa

31. Sweat Development Program- Manyara

32. Fishers Union Organization (FUO)- Mwanza

33. Community for sustainable Development(CSD)- Mwanza

34. Actions for Democracy and Local Governance (ADLG)- Mwanza

35. Lindi Region Association of Non Governmental Organizations (LANGO)- Lindi

36. Community Development for All (CODEFA)- Pwani

37. Kivulini Womens' Right Organizatio - Mwanza

38. Tanzania Brighter Future For Community Development Organization (TABCO)- Mwanza

Fomu ya Uanachama

Attachment Size
PFFOMUYAMAOMBIYAUANACHAMARevised2011.pdf 33.5 KB
Swahili

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter