Policy Forum ni asasi huru yenye malengo ya kuhusisha wananchi, asasi zisizo za kiserikali, na sekta zote zingine za jamii katika michakato ya uundwaji wa sera. Dhamira hii pia inahusisha kuwezesha hatua zote za michakato ya uundwaji wa sera zinaelimisha wananchi, zinakuza uwezo wao wa kujihusisha na zinaendeshwa kwa njia inayotoa nafasi ya uwajibikaji.Dira: Kuboresha maisha ya wananchi wa...

Sera Gombo 2 Toleo 1 Aprili 2008

Mwanachama wa PF

Kwa ajili yako, hili ni toleo la kwanza la mwaka 2008 la jarida letu la SERA. Toleo hili linajadili matokeo muhimu ya mtandao kwa miezi mitatu ya mwanzo na pia nini kimepangwa na PF kwa mwaka huu kwa ujumla.

 Tafhadhali bofya hapa kufungua faili aina ya PDF ya toleo hili

Kufungua SERA kwa kiingereza, bofya hapa

MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTEPE MWEUPE

Categoriest


27/03/2008 - 8:00am
27/03/2008 - 6:00pm

MTANDAO WA UTEPE MWEUPE KWA AJILI YA UZAZI SALAMA TANZANIA - Utepe Mweupe ni Kumbukumbu kwa Wanawake wote Waliofariki Kutokana na Mimba, Uchungu na Tatizo la Uzazi Mama au mtoto asipoteze maisha kwa ajili ya ukosefu wa fedha – ngazi ya familia, ngazi ya vituo vya afya, ngazi ya taifa.

Pages