Policy Forum ni asasi huru yenye malengo ya kuhusisha wananchi, asasi zisizo za kiserikali, na sekta zote zingine za jamii katika michakato ya uundwaji wa sera. Dhamira hii pia inahusisha kuwezesha hatua zote za michakato ya uundwaji wa sera zinaelimisha wananchi, zinakuza uwezo wao wa kujihusisha na zinaendeshwa kwa njia inayotoa nafasi ya uwajibikaji.Dira: Kuboresha maisha ya wananchi wa...

MJUE DIWANI (Toleo la Tatu)

Categoriest

Ndugu msomaji, tunayo furaha kukuletea kitabu kipya kiitwacho “Mjue Diwani” ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wetu wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa wa kuwaelimisha wananchi kuhusu utawala wa Serikali za Mitaa na
kukuza uwajibikaji katika jamii.

MAAZIMIO NA MAPENDEKEZO YA WAHESHIMIWA MADIWANI BAADA YA KUSHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI WA KIJAMII

Categoriest

Sisi Waheshimiwa madiwani tulioshiriki warsha ya mafunzo ya uongozi na uwajibikaji wa kijamii iliyoandaliwa na kuratibiwa na Kinkundi kazi cha Serikali za Mitaa cha Policy Forum kwa kushirikiana na halmashauri ya Kiteto kati ya tarehe 18 hadi 23 Julai 2016,

Baada ya kupokea na kujadili mada mbalimbali, tumetambua umuhimu wa nyaraka na taarifa mbalimbali kwenye hatua zote za usimamizi wa rasilimali za umma na mfumo wa uwajibikaji jamii,

Pages