HEALTH & MEDICARE FOUNDATION FOR ALBINISM(HEFMA)
Dira: Kutoa elimu kwa albino ili kuyakabili mazingira yaendane na ngozi yao.
Mission: Kuelimisha jamii na maalbino kuhusu matatizo ya albino kwamba hali hiyo inatokana na hitilafu ya ngozi. Elimu na ujuzi itawasaidia ili kupambana na umaskini katika hali ambayo itazuia albino kutokupata athari ya mionzi ya jua kwneye macho na ngozi.